Category: Booklets

Injili ya Ufalme wa Mungu

Here is a pdf link to the Kiswahili edition of “The Gospel of the Kingdom of God” Injili ya Ufalme wa Mungu   Kwa nini binadamu hawezi kusuluhisha shida zake? Je! Wajua kwamba mambo ya kwanza na ya mwisho katika

Posted in Booklets, CCOG Africa News, Kiswahili, Swahili

Imani Kwa Wale Walioitwa na Kuchaguliwa na Mungu

Imani ni nini? Je! Imani inaweza kuongezwa? Je imani ni hisia tu? Je! Imani inabatilisha amri? Wengi wanaongea juu ya imani,  lakini je!Ni kweli wana imani? Mamilioni wamekosa imani  ya kuyapokea majibu ya maombi. Mara nyingi ni kwa sababu ya

Posted in Booklets, Magazines, Swahili

Wakristo:Mabalozi wa Ufalme wa Mungu

Wakristo wanapaswa kuwa Mabalozi wa Ufalme wa Mungu Je, ni jinsi gani Wakristo Wanapaswa Kuishi? Kuwa Mkristo Kunaathiri Maisha Yako Yote  Uwezekano Wetu ni Mkubwa Mno kwa Sababu Mungu yuko Upande Wetu. Wakristo Wanakutana na Kuundeleza Ufalme wa Mungu Maelezo

Posted in Booklets, Magazines, Swahili

1 Siri ya Mpango wa Mungu

Siri ya Mpango wa Mungu Yaliyomo 1. Mpango wa Mungu ni Fumbo kwa walio wengi 2. Kwa Nini Uumbaji? Kwanini Wanadamu? Kwa nini Shetani? Ukweli ni nini? Je, yeye ni mafumbo gani ya Raha na Dhambi? 3. Dini za Ulimwengu

Posted in Booklets, Swahili