Imani Kwa Wale Walioitwa na Kuchaguliwa na Mungu

Imani ni nini? Je! Imani inaweza kuongezwa?

Je imani ni hisia tu? Je! Imani inabatilisha amri?

Wengi wanaongea juu ya imani,  lakini je!Ni kweli wana imani?

Mamilioni wamekosa imani  ya kuyapokea majibu ya maombi.

Mara nyingi ni kwa sababu ya kukosa kuelewa maana ya imani.

Je! Waweza kusoma na kufanya yaliyofundishwa na Biblia kuhusu imani? 

Posted in Booklets, Magazines, Swahili