Uteuzi wa Awali, Uteuzi na Uchaguzi
Uteuzi wa Awali, Uteuzi na Uchaguzi Uteuzi wa awali ni nini? Biblia inafundisha nini kuihusu? Uteuzi wa awali ulifanywa lini? Je, watu wamepangiwa awali kuokolewa? Je, wengi wa wanadamu wamepangiwa awali kupotea? Je, walioitwa au waliochaguliwa ndio waliopangiwa awali? Vipi …
