Bible News Prophecy Magazine in Swahili Oct-Dec 2018

Katika Makala hii:
Kutoka kwa Mhariri:Krismasi? Siyo yangu?

Amri ya Kwanza Je,Unampenda Mungu jinsi Unapaswa kumpenda?

Jisomee Kozi ya Biblia Somo la 14b: Je,Wanadamu ni nani? Mungu anasemaje kuhusu wanadamu?

Ni Injili Gani Yesu Alihubiri Je,Yesu alikuja duniani kuhubiri kuhusu nafsi yake au kuna ujumbe mwingine alihubiri ambao wengi wanakosa?

Dhiki Kuu na Wakati wa Mwisho wa watu wa Mataifa: Dhiki Kuu inakuja kwa hivyo usitosheke sana kiasi cha kufikiri kwamba haitakufikia.

Pano kuna uhusiano wa magazeti: Unabii wa Habari za Biblia Oct-Dec 2018

Posted in CCOG Africa News, Uncategorized